KLABU YA SIMBA YASITISHA MKATABA NA KOCHA ABDELHAK BENCHIKHA,KAMAL BOUJNANE NA FARID ZEMITI. | Extra Mile

Sunday, April 28, 2024

KLABU YA SIMBA YASITISHA MKATABA NA KOCHA ABDELHAK BENCHIKHA,KAMAL BOUJNANE NA FARID ZEMITI.

  Extra Mile       Sunday, April 28, 2024

 



Klabu ya Simba kupitia ukurasa wake wa Instagram wanautaarifu uma kuwa wamefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na kocha mkuu Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake wawili Kamal Boujnane na Farid Zemiti.

Ni dhahuri shahiri kuwa, licha ya Klabu hiyo kufikia makubaliano hayo na makocha hao, haikuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo katika msimu huu 2023/2024. 
logoblog
Previous
« Prev Post