MWILI WA MWANAUME UMEKUTWA UKIWA UMECHOMWA MOTO KATIKA POLI LA SEMINARI KARIBU NA CHUO CHA SAUT MWANZA | Extra Mile

Thursday, May 2, 2024

MWILI WA MWANAUME UMEKUTWA UKIWA UMECHOMWA MOTO KATIKA POLI LA SEMINARI KARIBU NA CHUO CHA SAUT MWANZA

  Extra Mile       Thursday, May 2, 2024


 Taarifa iliyotolewa na Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha SAUT (SAUTSO) inaeleza kuwa mwili huo ulikutwa katika poli hilo ikiwa ni hatua chache kutoka kilipo chuo kikuu hicho

Aidha taarifa hiyo inaainisha jinsia ya mwili huo kuwa ni mwili wa mwanaume ambaye mpaka sasa hajafahamika kwa jina wala wadhifa wake

Hatua ambayo imekwisha kuchukuliwa na chuo kikuu hicho ni kuupeleka nwili huo katika hospitali ya Rufaa ya Kanda (BUGANDO).

logoblog
Previous
« Prev Post