WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMUWAKILISHA RAISI SAMIA SULUHU HASSANI MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI 2024 | Extra Mile

Sunday, June 30, 2024

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMUWAKILISHA RAISI SAMIA SULUHU HASSANI MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI 2024

  Extra Mile       Sunday, June 30, 2024

 


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 30, 2024 anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani 2024.


kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni “Wekeza kwenye Kinga na Tiba dhidi ya Dawa za Kulevya”. 


Maadhimisho hayo yanafanyika katika Uwanja wa Nyamagana, jijini Mwanza







logoblog
Previous
« Prev Post