Home habari UDAHILI VYUO VYA ELIMU YA UFUNDI UMEONGEZEKA | Extra Mile

Tuesday, May 7, 2024

Home habari UDAHILI VYUO VYA ELIMU YA UFUNDI UMEONGEZEKA

  Extra Mile       Tuesday, May 7, 2024

 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2024/2025.
**

"Serikali imeongeza udahili katika vyuo vya elimu ya ufundi kutoka wanafunzi 171,581 mwaka 2022/23 hadi wanafunzi 235,804 mwaka 2023/24, ongezeko hili linatokana na kuongezeka kwa idadi ya vyuo vya elimu ya ufundi kutoka vyuo 465 (visivyo vya serikali 285) mwaka 2022/23 hadi vyuo 474 (visivyo vya serikali 294) mwaka 2023/24," - Prof Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
logoblog
Previous
« Prev Post