Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Imetangaza machaguo "selection" za wanafunzi wa kidato cha tano na vyuo vya kati mbalimbali nchini.
Kupata machaguo ya shule na vyuo vya kati nenda kwenye mfumo wa selform.tamisemi.go.tz
